DIRA YETU AFRIKA

Tunafanikiwa kwa Kuwainua Wengine

NIMEACHA RASMI KALE KAMCHEZO KA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI

Basi baada ya mke wangu kumsindikiza tu mtoto shuleni mie nikachukua mafuta lakini kabla ya kumimina kiganjani ili nianze kazi nikagundua kuwa mafuta yapo mwishoni kabisa na kumbe yale mafuta kopo kubwa la REVLON tangu ninunue sikuwahi hata mara moja kuyatumia kujipaka zaidi ya kuyatumia kwa kazi ile tu ya kujichukulia sheria mkononi. Sikujali sana nikamimina kiasi kile ninachokitaka nikachukua simu nikafungua video zile zenye kuleta  hamasa basi tena nikaendelea kujichukulia sheria mkononi mpaka wazungu wakaja. Siku ile mke wangu akapiga simu akaniambia anaenda kusuka basi mie nikaitumia ule wasaa sawa sawa. Nilifanya ule uuwaji kwa kujichukulia sheria mkononi kama mara 5 hivi na baadae nikaishiwa nguvu.

Najua unapenda stori mi pia napenda stori tena zile stori za matukio ya kweli. Eee waaa sasa mi ndio nipo hapa kukupigsha stori, stori zlie za kukuondolea stress na kukuelemisha pia. Kumbuka kuwa stori hizi ni mikasa na matukio ya kweli kabisa yaliwakumba watu tunaoishi nao kwenye jamii yetu. Ili stori inoge  nimechugua kutotaja majina yao. Wacha nisikuchoshe nikujuze ilikuwaje mimi nikazama na kugalagala kwenye tope la ule upuuzi wa kujichukulia sheria mkononi.

Wengine huita kujilipua mimi nakiita kile kitendi kuwa ni kujichukulia sheria mkononi kama asemavo Afisa Ubashiri ndugu Nyonyoma Mwaisa mtu mbad. Wengi hutumia mafuta, wengine sabuni, wengine kavu kavu, na wengine hutoboa tundu kwenye godoro linalotoshea mashine peke yake ili mradi tu kuwe na msuguano. Walio wengi walianza tabia hii huko kwenye shule za bweni, mimi pia nakumbuka kwa mara ya kwanza ilikua ni mwaka 1994 nikiwa kidato cha nne shule fulani ya shirika la Watawa.

Licha ya kuwa na mke bado sikuacha ule upuuzi na kila siku nilijiapiza kuwa leo tu leo tu ndio siku ya mwisho.  Kumbe wapi na kesho tena najikuta narudia tena. Rafiki yangu mmoja mshikaji wangu wa karibu yeye alisema achelewe  kupata magoli kwenye gemu basi lazima akimbilie chooni fasta fasta na kupiga shuti moja ukutani kwa kutumia mafuta ndio anarudi kuanza gemu rasmi. Hapo atatumia zaidi ya dakika 30 kutafuta goli.

Uhuru wa mitandao hasa hii ambayo haina uthibiti wa vitu gani unaweza kupakia na vitu gani huwezi kupakia umechangia sana kufanya nishindwe kuacha kale kamchezo. Kila nikitazama picha na video fulani za maumbile ya mafichoni yakiwa wazi basi akili ya kishetani ilikua ikiniambia huu ndio muda kupiga kimoja tu. Mara chache sana niliweza kujizuia. Mara nyingine nilijiridhisha peke yangu huku mwenza wangu akiwa pembeni  yangu kalala fofofo akikoroma.

Ndio hivo tena jioni ya siku ile nilikaa chini nikapiga hesabu na kugundua kuwa nimekuwa nikijichukulia sheria mkononi kwa muda wa miaka 20 sasa. Kwa kuwa nilikua najichukia mwenyewe pia imefika wakati hata sifurahii kabisa, najilaumu kweli kila nikimaliza. Pia nimegundua kuwa utamu halisia upo kwenye gemu haswaa na sio kwenye kujichukulia sheria mkononi. Nikaamua tangu siku ile kuacha kabisa upuuzi ule. Nafurahi kutamka kuwa sasa hivi ni mwaka wa 10 tangu niachane na ule uhuni. Nakusihi hata wewe unaweza kuachana na ile kitu.

Na haya ni mojawapo ya madhara ya kujichukulia sheria mkononi

Ile kitu husinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

Ile kitu kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

dhakari kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *